Friday, June 25, 2010

MAUZO YOTE YA ALBUM YANGU YATAENDA KWA WATOTO YATIMA.


"Naingiza album sokoni na kesho itakua mtaani, but mauzo yote ya album yanaenda kwa watoto yatima, mi sichukui hata shilingi ya mauzo ya album wao ndo watakua wana sign copy zitakozokua zinauzwa.
Share/Save/Bookmark

No comments:

Post a Comment

 

.