Show ilifanyika kwenye viwanja vya KICC hapa Nairobi....ilikwenda kwa jina la safaricom faceoff,Kwa ajili ya kuzindua huduma ya face book kwenye mtandao wa safari com,kulikua na perfomance all thru the day,Zawadi,,,,na mashindano ya hapa na pale
SASA KILA KITU MWENDO KASI: TAZAMA HUYU JAMAA
7 years ago
No comments:
Post a Comment