FIESTA ILIKUWA KAMA HIVI LIL KIM AND JUMA NATURE PAMOJA LIL KIM AKIBURUDISHA NDANI YA FIESTA FLOWERS FLOWERS WAKI SHOW LOVE KWA CAMERA YA BONGO FLAVA
MIMI NA BLANDINA FIESTA.. MWAKILISHI WA PRECISION AIR IBRAHIM BUKENYA NDANI YA VIWANJA VYA LEADERS KWENYE FIESTA WAKIWA NA BONGE MTANGAZAJI WA CLOUDS NA MIE ..PRECISION AIR ILIZAMINI FIESTA 2010 KATIKA MASWALA YA USAFIRI.
I love music ....hasa bongo flava , hii blog ni kwa ajili ya bongo flava news tu...we mdau wa huu muziki kama unahabari kuhusu muziki huu nitumie kwenye e-mail : cybernizo@yahoo.com
No comments:
Post a Comment