MSHIKAJI ANAITWA MSWAKI NI BOOOOOONGE LA PRODUCER YUPO DREAMS RECORDS PANDE ZA UBUNGO MAZIWA....KASHAGONGA NGOMA KIBAO KAMA JIPANGUSE RMX YA BAGHDAD FT STAMINA & SKODA NA NYINGINE KIBAO....STAY TUNED
I love music ....hasa bongo flava , hii blog ni kwa ajili ya bongo flava news tu...we mdau wa huu muziki kama unahabari kuhusu muziki huu nitumie kwenye e-mail : cybernizo@yahoo.com
Ol the best Mswaki 2nataka kuskia meng kutoka kwako. pamoko!!!!!!!!!
ReplyDelete