Msanii kutoka Jamaica Miss Triniti amefanya rekodi na msanii kutoka Tanzania anajulikana kwa jina la Cpwaa hapa MJ REC na wimbo huo unajulikana kwa jina la ACTION chini ya Producer Marco Chali. kaa tayari kusikia dude kali la nguvu
SASA KILA KITU MWENDO KASI: TAZAMA HUYU JAMAA
9 years ago
No comments:
Post a Comment