Tuesday, September 14, 2010

MASHABIKI WANGU NITAWAHITAJI KWENYE VIDEO YA KARIBU TENA-JOH MAKINI


Mtu mzima Joh Makini anatarajia kushoot video nyingine inayokwenda kwa jina la Karibuni Tena chini ya mtu mzima Adamu Juma kutoka Visual Lab. DJ Chokaa alipozungumza na Joh Makini alimwambia video hii ya karibu tena inahitaji watu wengi ambao watakuwa kama club halafu Joh atatakiwa kuwaimbia huku wakitoa shangwe za kutosha,

kiingilio kwa siku hiyo ni uje ukiwa umependeza sana na getini atakuwepo mwenyewe DJ Choka kwaajili yakukagua mavazi.
Anasema kwa sasa yupo kwenye kuumiza kichwa sehemu ipi itafaa kwaajili ya kuwakusanya mashabiki wake so soon atatoa location na nitawajulisha ili mje kumpa tafu Joh katika video hiyo.
HABARI KUTOKA BONGO STAR LINK NA DJ CHOKA
Share/Save/Bookmark

No comments:

Post a Comment

 

.