Thursday, September 9, 2010

MPOTO ATOA WIMBO MPYA


Msanii mwenye mistari yenye ujumbe mzuri na kumfikia mtu kwa haraka ujumbe wake Mrisho Mpoto, ametoa wimbo wake mpya kama wiki na nusu sasa unaoitwa Adela akiwa amemshirikisha msanii Ismail aliyeimba kiitikio cha wimbo huu.
Wimbo huu Mpoto anamzungumzia Adela kwamba anyooshe kidole na hana nia mbaya yakumrudisha darasani, Studio ya Fishcrab chini ya Producer Lamar ndio umeutengeneza wimbo huu.SIKILIZA HAPO JUU KULIA
Share/Save/Bookmark

No comments:

Post a Comment

 

.