Sunday, January 24, 2010

ALBUM YA DIAMOND SOKONI TAREHE 14 MWEZI WA PILI


Msanii aliye kuja juu kuanzia mwakajana mwishoni na kuwashangaza wengi na single yake moja tu inayoitwa KAMWAMBIE,Diamond ameamua kukata kiu ya mashabiki wake na kudondosha album yake aliyoipa jina NENDA KAMWAMBIE, album hiyo itakuwa sokoni kuanzia tarehe 14 mwezi wa pili na inajumla ya nyimbo 12 ambazo zimetengenezwa studio tofauti tofauti na pia kushirikiana na wasanii wengine kibao.
Share/Save/Bookmark

No comments:

Post a Comment

 

.