Sunday, November 6, 2011

ADILI HISABATI AIWEKA WAZI INSHU YA FACEBOOK ACCOUNT YAKE / ANASEMA YEYE NI ANTIVIRUS PURE


Share/Save/Bookmark

VIDEO MPYA: Peter Msechu - Relax ft kidumu



Peter Msechu ft Kidum - Relax
video by Abrah Tha Producer
via Golden Heart studio
Dsm, Tanzania.
+255-713-260172
Share/Save/Bookmark

Monday, September 26, 2011

An open letter to DICOTA from Albino Flani

DICOTA officials,
I would like to commend your efforts on putting together the event to mark 50 years of Tanzania’s Independence. In this day and age where our country is going through various crises including severe corruption, water and energy deficiencies, poor standards of living, leadership and political conflicts and so forth; we need a new and improved system. I therefore strongly support your network effort linking fellow Tanzanians living in the US to the ones back in Tanzania.
I was happy; yet, saddened to see that DICOTA is hosting and possibly paying for a Kilimanjaro Band (Wananjenje), Jahazi Modern Taarab and King Kiki for music entertainment at the event and disregarding the fact that there are Tanzanian artists in the diaspora community. We have mainstream and non-mainstream Tanzanian artist living in the USA. The general expectation would be to involve and support these artists, whose works are hereby showcased and incorporated into today’s entertainment and culture.
Not to challenge or downplay your current guest musicians, but the list could have been more diversified to entertain more guests. It is vital to consider all groups. Higher number of viewers and listeners enables Bongo Flava to get more airtime compared to any other gene in all Swahili based radio or TV stations all over the world. Surprisingly, Bongo Flava artists were not included in your list.
Most will argue that in the 21st century the world is moving in a very fast economic and social pace. Instead of old-fashioned, traditional mentalities and stagnant ideologies, the community could benefit more from innovative, diverse leadership. We need to keep up.
This kind of leadership is what we are trying to change in Tanzania. Most will agree that this is the type of leadership that only focuses on self-interest and personal gain. It should be remembered that one key campaign strategy for CCM and JK’s presidential campaign (the ruling party and current president) was to campaign with the kind of artists DICOTA left out.
By ignoring these talented artists who have been representing the Republic of Tanzania by taking part in cultural festivities amongst other events in the United States; it’s fair to question the blatant discrimination against fellow musicians and lack of diversity or acknowledgement of the hard work of community members. Based on the upcoming event, DICOTA has demonstrated a lack of insight as to what transpires between Tanzanians living in the US and those back in Tanzania.
I recommend that, prior to assuming leadership duties as members of the diaspora community; DICOTA officials should meet and exceed a minimum qualification of frequently visiting the country they are representing to update their knowledge of the current situation rather than depending on Michuzi and other blogs. Today, it’s about inviting music artists but tomorrow might be choosing a president.

Albino Fulani
Share/Save/Bookmark

Wimbo wa SHAA "SHOGA" umechukua tuzo ya BEST AFROPOP kwenye THE MOAMAS.


SHOGA won the Best AfroPop Song kwenye the MOAMAS zilizofanyika jana usiku..words can not explain how thankful i am to all mnaoni-support na mlioVOTE for it, i dedicate this 1st Award of mine to u guys, my fuel, my motivation, my fans.
Share/Save/Bookmark

Saturday, September 24, 2011

BARNABA ATOA SINGLE YAKE MPYA-SITAKI DHARAU


Share/Save/Bookmark

Thursday, July 14, 2011

Friday, July 8, 2011

VIDEO- SUGU AKIISIFIA FIESTA -YA KWELI HAYOO WADAU AU NDIO TUMECHAKACHULIWA ?


Share/Save/Bookmark

Tuesday, June 14, 2011

MTANDAO WAWAUNGANISHA WASANII WA AFRIKA


Picha ya kwanza juu: Mwenyekiti na muanzilishi wa Mtandao wa Arterial nchini, Laurian Kipeja akisisitiza juu ya haja ya wasanii kujiunga kwenye mtandao huo kwenye Jukwaa la Sanaa linalofanyika kila wiki kwenye Ukumbi wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA). Kulia kwake ni Katibu Mtendaji wa BASATA, Ghonche Materego. Picha ya pili juu: Katibu Mtendaji wa BASATA, Bw. Materego (aliyesimama) akijibu moja ya hoja zilizoibuka kwenye Jukwaa hilo. Wengine kushoto kwake ni Bw. Kipeja na Hassan Bumbuli katibu wa CAJAtz.
WASANII wa Tanzania sasa wataunganishwa na wenzao wa Afrika kupitia mtandao wa Arterial ambao kwa mujibu wa wawakilishi wake hapa nchini utakuwa na manufaa makubwa.

Akizungumza wiki hii katika Jukwaa la Sanaa linaloandaliwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kushirikiana na Chama cha Waandishi wa Habari za Sanaa na Utamaduni (CAJAtz), Mwenyekiti wa mtandao huo hapa nchini Laurian Kipeja alisema kwamba, mtandao huo kwa sasa unawanufaisha wasanii wengi barani Afrika.

“Mtandao huu umeanzishwa rasmi huko Senegal mwaka 2007, kwa sasa umesambaa nchi nyingi za Afrika zikiwemo za Afrika Mashariki. Umewaweka pamoja wasanii wengi na kuwapa wasanii mafanikio” alisema Kipeja.

Aliyataja mafanikio ambayo wasanii watapata kwa kuwa ndani ya mtandao huo kuwa ni pamoja na kukutana na wasanii mbalimbali wa kiafrika, kupata fursa za kushiriki matukio mbalimbali ya kisanaa, kukuza na kuuza kazi zao, kupata elimu juu ya ukuzaji wa stadi zao na faida nyingine nyingi.

“Tunatoa wito kwa wasanii hapa nchini kutumia fursa hii ya kujiunga na Mtandao wa Arterial, faida zake ni nyingi, wenzetu wa nchi za Afrika wameanza kunufaika hivyo ni muda wa wasanii wa Tanzania kuchangamkia fursa hii ya pekee” aliongeza Mwenyekiti huyo wa Arterial mtandao ambao kwa hapa nchini umeanzishwa rasmi Februari 22,2011.

Aidha, Kipeja alitaja kazi ambazo hadi sasa zimefanywa na mtandao huo hapa nchini ambazo ni pamoja na kuandaa vitabu vya Marketing of Art na Fundraising in Art ambavyo muda wowote vitatua nchini kutoka Afrika Kusini, kuandaa semina na warsha mbalimbali kwa wasanii barani Afrika na sasa kuwa na mtandao huo katika nchi za Afrika Mashariki.

Alimalizia kwa kuwashauri wasanii kuwa na barua pepe na kuhakikisha mara kwa mara wanatembelea mitandao ya arterianetwork.com na ule wa artsinafrica.com ambayo kwa pamoja imejaa taarifa mbalimbali kuhusu sanaa.

Kwa upande wake Katibu Mtendaji wa BASATA, Ghonche Materego alisema kwamba, kazi za wasanii wa Tanzania zina ubora kuliko zile za nchi nyingine za Afrika Mashariki lakini tatizo limekuwa kwa wasanii wenyewe kujiamini na kuthubutu katika kazi zao.

“Ukizunguka nchi za Afrika Mashariki kumejaa filamu na kazi za sanaa kutoka Tanzania. Zinakubalika kuliko za nchi zingine, tatizo ni kwamba wasanii wetu hawajiamini na kuthubutu. Hapa ndipo wanapotakiwa kubadilika” alisisitiza Materego.
Share/Save/Bookmark

Thursday, March 31, 2011

MCHUMBA WA H-BABA FLORA MVUNGI ANASWA NA MWANAUME




Licha ya kuvishwa pete ya uchumba na nyota wa muziki wa Bongo bolingo fleva, Hamis Ramadhani Baba H. Baba, ‘diva’ wa tasnia ya filamu Bongo, Flora Mvungi amenaswa akichukuliwa maelezo (kutongozwa) na mwanaume mmoja wa Kizanzibar,Amani Jipya lina Full data.

Tukio la nyota huyo aliyefanya kweli kwenye muvi ya ‘True Love Never Die’kufumwa akitongozwa lilijiri mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Mango Garden Kinondoni, jijini Dar es Salaam.

Akizungumza baada ya kamera ya Amani Jipya kummulika akiwa ‘klozi’ na jamaa huyo, Flora alisema kwa mara ya kwanza alikutana na ‘tozi’ huyo alipokuwa kikazi visiwani Zanzibar na tangu hapo jamaa amemganda kama ruba akimtaka kimapenzi.

“Aliniambia kuwa ni shabiki wangu mkubwa tulizungumza kidogo nikampa namba, tangu hapo amekuwa akinisumbua kwa kunitaka kimapenzi yaani hivi unavyomuona amesafiri kutoka huko kwao kuja kunifuata huku,” alisema Frola.

Flora alisema kwamba alishamwambia jamaa kama yeye amechumbiwa lakini haelewi wala hasikii na sasa anajuta kwa nini alitoa namba yake kwa jamaa huyo aliyemtaja kwa jina la Feisal.

Aidha, msanii huyo ambaye hivi karibuni aliripotiwa kubadili dini na kuwa Muislamu alisema kwamba jamaa anampigia simu kila kukicha na kutuma meseji za kumtaka kimapenzi.

“Nimechoka na hali hii wakati mwingine huwa nafikiria kubadili namba kwani nahisi siku ‘my love’ (H.Baba) akigundua patakuwa hapatoshi,” aliongeza.
HABARI KUTOKA GLOBAL PUBLISHER

Share/Save/Bookmark

20 AFANYIWA PARTY YA NGUVU NA AFANDE SELE MOROGORO

Mfalme wa Rhymes 2004, Suleiman Msindi ‘Afande Sele’ amemwangushia bonge la pati, mshindi wa tuzo tano za Kili Music 2010/11, Abbas Hamis Kinzasa ‘20%’ au ‘Kombinenga’ (pichani) kwa lengo la kuupongeza ushindi wake, Amani Jipya linakuwa la kwanza kuwajuza.

Sherehe hiyo ya nguvu ilitwaa fursa Jumatatu ya Machi 28, mwaka huu nyumbani kwa Afande Sele, Misufini mjini Morogoro na kuhudhuriwa na waalikwa kibao.

Baadhi ya matukio ya ziada katika pati hiyo ni kitendo cha 20% mwenyewe kushika mapande ya ‘manyama’ kwa staili aliyoiita ya ‘kikombinenga’ na kutembea navyo hadharani huku akiongea na watu mbalimbali bila kujali ustaa wake.

Aidha, Afande Sele aliyemtaka msanii huyo ashuke Moro akitokea Tabora ili amfanyie sherehe, naye aliweka kando ufalme wake na kuunga mkono tabia ya ‘mwanaye’ huyo kwa kukamata kipande cha nyama kilichoonesha ni kuku huku akibadilishana mawazo na waalikwa.

Muziki wa ‘laivu’ ulipigwa kutoka kwa bendi isiyo na jina kubwa huku waalikwa waliokuwa wameketi kwenye viti vya plastiki wakijiachia kwa nyakati tofauti.

NI SALAMU ZANGU KWA JK
Akizungumzia ushindi wake wa tuzo tano za Kili katika mahojiano maalum na Amani, 20% alisema kuwa, ni salamu zake kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete ‘JK’.

“Hizi tuzo tano ni salamu zangu kwa Rais Kikwete kwamba kuna haja ya mimi na yeye kukutana kwa kuwa, wananchi wake waliomchagua mwaka jana wamenikubali kama walivyomkubali yeye, hivyo sote tumekubalika,” alisema 20%.

Alipoulizwa ni kwa nini hakuwepo Ukumbi wa Diamond Jubilee siku ya utaoji wa tuzo Machi 26, mwaka huu na badala yake akamtuma prodyuza wake Man Walter, msanii huyo alijibu:

“Mimi ni mtu wa watu, nafanya kazi ya muziki kwa lengo la kuwaburudisha na kuwaelimisha watu, sifanyi kwa sababu ya tuzo, hivyo naweze kusema kwamba waandaji hawakuwa makini kwa namna fulani.

“Wasanii tuna kazi za watu za miezi mitatu hadi minne mbele, sasa jamaa (waandaaji wa Kili) walinipa taarifa wakati tayari nilishachukua kazi za watu Tabora.

“Ni rahisi kutuma mwakilishi kwenye tuzo ndiyo maana alikwenda prodyuza wangu, lakini ni vigumu kumtuma mtu kwenye kazi za watu (shoo),” alisema 20%.

Aidha, msanii huyo aliongeza kwamba, akiwa Tabora alikuwa akifuatilia tuzo hizo kupitia runinga.

“Shoo ile nilikuwa naicheki na masela wangu kwenye runinga, nilishuhudia mpaka nilipopata tuzo ya nne hapo muda wa kazi ulifika nikapanda jukwaani, lakini masela walinijuza kwamba nimetimiza nguzo tano za Kiislamu,” alisema msanii huyo.

BABA YAKE AKEREKA, AMFOKEA
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, msanii huyo aliweka hadharani kuwa, kutokuwepo Diamond Jubilee usiku ule kulimkera baba yake mzazi, Mzee Hamis Kinzasa ambapo alimpigia simu na kumfokea.

“Baba naye alikerwa sana na kitendo cha mimi kutokuwepo ukumbini. Alinipigia simu na kuniambia we ni mshen… sana, wenzako wamekodi magari kutoka Mkuranga kwenda Dar kukupongeza wewe haupo.”

Hata hivyo, 20% alisema kuwa, alimwelekeza baba yake huyo hali ilivyo ambapo alimwelewa, akapunguza mzuka.

ATOA TAMKO
Aidha, alisema alitaraji kutua Dar juzi Jumanne na kuzitwaa tuzo hizo hadi kwao Mkuranga na baadaye kuzirudisha jijini kwa programu nyingine, kisha akatoa tamko:

“Nachukua nafasi hii kuwaomba msamaha wazazi na mashabiki wangu, wanisamehe kwa kutoniona ukumbini.”

Katika tuzo hizo, 20% alivunja rekodi kwa kutwaa Msanii Bora wa Kiume, Muimbaji Bora wa Kiume na Wimbo Bora wa Afro-Pop.

Kwa upande wa nyimbo zake mbili za Ya Nini Malumbano na Tamaa Mbaya, zilishinda na kupokea tuzo kila moja.

MKANGANYIKO
Kwa mujibu wa Man Walter, 20% alishindwa kuhudhuria utoaji wa tuzo hizo kwa maelezo kwamba alikuwa ‘akishuti’ filamu huko Morogoro.

Maelezo hayo yanakinzana na haya ya 20% kuwa alikuwa kwenye shoo Tabora hivyo kusababisha watu kuhoji ukweli ni upi?
Share/Save/Bookmark

Friday, March 11, 2011

OFFSIDE TRICK WANAOMBA KURA YAKO----Habakkuk yako bhanaaa...Offside Trick inaomba kula yako ili iweze kushinda TUNZO za KILI MUSIC AWARD......Ni rahis


Share/Save/Bookmark

VOTE FOR CHID BENZ


Share/Save/Bookmark

JAPAN WE SHARE YOUR GRIEF-POLENI SANA


Share/Save/Bookmark

FACEBOOK STATUS YA DITTO WAPO WA THT-Tsunami,Tsunami Duh!!!Yaani Tsunami La Tokyo Limeafect Safari Yetu Kwa Siku Kadha.Producer Na Team Nzima Ya Good


Share/Save/Bookmark

Sunday, March 6, 2011

MSANII ONE WITH A NEW BRAND SINGLE 40 BARZ


Share/Save/Bookmark

Tuesday, March 1, 2011

MPIGIE KURA FID Q---"Kwa Wale wenzangu ambao wako Nchi zenye Baridi na nje ya TZ na hawatoweza kupiga kwa njia ya simu. Basi Usife Moyo. Bado utaweza

Click below to Vote
http://www.kilitime.co.tz/awards/2009/nominees_2007.php

Share/Save/Bookmark

NEW VIDEO:Neva Be The Same Again-Chidi Beenz


Share/Save/Bookmark

Monday, February 7, 2011

Uswazi - Usiku Mchana


Share/Save/Bookmark

Sunday, February 6, 2011

Tittle: New Track from Umabe Arts


Share/Save/Bookmark

Friday, October 8, 2010

ADRESS YA BLOG HII IMECHANGE TO:http://bongoflavortz.blogspot.com/

KUTOKANA NA MAONI YA WADAU WENGI KULALAMIKA KUHUSU JINA LA BLOG HII KUWA REFU...TUMEAMUA KUBADILI ADRESS YA BLOG KUWA :http://bongoflavortz.blogspot.com/
Share/Save/Bookmark

Wednesday, October 6, 2010

DJ CHOKA BLOG SASA NI BONGOSTARLINK.COM


Kwa muda mrefu toka nimefungua blog ikiwa na jina la DJCHOKA.BLOGSPOT.COM na ndoto zangu kufikia malengo, basi nimeanza mdogo mdogo na kuanza kutumia domain ya jina la BONGO STAR LINK ili kuwa serious na kitu nachokifanya.
Kwa sasa DJCHOKA.BLOGSPOT.COM itakuwa inaitwa WWW.BONGOSTARLINK.COM, nimeanza na jina hili huku nikijaribu kuchukuwa visiku na viwiki kubadili mfumo mzima na muonekano wa website hii ya Bongo Star Link.SAYS DJ CHOKA
Share/Save/Bookmark

NYIMBO MPYA ZILIZO INGIA BLOGUNI

1. Chriss wa Marya - Kilometer 6
2. Mandolin and Bill - Kwanini
3. IJL ft KC - My Way
Share/Save/Bookmark

Monday, October 4, 2010

AY AND MISS TRINITI



Wiki iliyopita AY pamoja na msanii kutoka Trinidad and Tobago Ms Trinity waielekea nchini Uganda na kushoot video yao mpya.

Wimbo huo ulirekodiwa katika studio za B.Hits jijini Dar es Salaam na video kufanyiwa ndani ya jiji la Kampala chini ya director Donald kutoka Dedac Production.

AY alinukuliwa akisema "Video itakuwa tayari ndani ya wiki mbili na watu wangu kokote waliko duniani wategemee good music kutoka kwangu na Ms Trinity.

Pia nilitumiwa muda huo nikiwa Kampala kwa kurecord video nyingine pamoja na mkali kutoka Uganda ajulikanae kwa jina la Ragga Dee.Video hiyo imefanywa na kampuni iitwayo JahLive ya nchini humo"alimalizia.

Ay pia anatarajia kurecord nyimbo zingine na wasanii wakubwa kama Sean Kingston mjamaika aliweka makazi yake nchini Marekani pamoja JMartins wa Nigeria hivi karibuni.

For more info:
http://www.ay.co.tz/
Share/Save/Bookmark

Bongo Jazz: Fanya Vitu Vyako - Zahir Ally Zorro Feat Mr Blu and Baby Boy


Share/Save/Bookmark

Friday, October 1, 2010

MZUMARI AWARDS-CHEGE NDANI


Have been nominated for Nzumari Awards in the category of Best Male Artist,
the Ceremony wil b on 9
th oct@Club seafront Mombasa,
don't miss!
Share/Save/Bookmark

Wednesday, September 29, 2010

THE MAKING OF ACTION VIDEO YA C-PWAA FEAT.. MISS TRINITI


Share/Save/Bookmark

Tuesday, September 28, 2010

MODEL OF BONGO FLAVA VIDEOS



AGNESS NI MODEL MAARUFU AMBAE AMETUMIKA KATIKA VIDEO NYINGI KALI ZA BONGO FLAVA HAPA TZ..VIDEO KAMA BUSINESS YA IZZO B NA NYINGINE NYINGI NZURI.
Share/Save/Bookmark

Saturday, September 25, 2010

C-PWAA ATOA NYIMBO NA MSANII WA JAMAICA MISS TRINITI


Msanii kutoka Jamaica Miss Triniti amefanya rekodi na msanii kutoka Tanzania anajulikana kwa jina la Cpwaa hapa MJ REC na wimbo huo unajulikana kwa jina la ACTION chini ya Producer Marco Chali. kaa tayari kusikia dude kali la nguvu
Share/Save/Bookmark

AKUNDAELI - FLAVA VOL 2 PREVIEW DIAMOND MBAGALA AY BEBE COOL TIP TOP



DOWNLOAD IT USING THE BELOW LINK:
http://www.box.net/shared/lje3ji7czg
Share/Save/Bookmark

Tuesday, September 21, 2010

VIDEO MPYA: HALIMA BY LINEX


Share/Save/Bookmark

TANGAZA HAPA BIASHARA YAKO KWA BEI NAFUU



Share/Save/Bookmark

Tina Cherish Gee-A MODEL OF THE BONGO FLAVA THIS MONTH



CONTACT ME (JOHN CYBER) IF U WANNA USE HER AS A MODEL ON YOUR WORK
Share/Save/Bookmark

Monday, September 20, 2010

VIDEO MPYA : CHAP CHAP -AY AND BEBE COOL


Share/Save/Bookmark

MLAB-UNDERGROUND CAMPAIGNE



Share/Save/Bookmark

TODAY IS MY BIRTHDAY-WADAU WA BLOG HII NAWAKARIBISHA BAADAE KUKATA KEKI.


Share/Save/Bookmark

Saturday, September 18, 2010

MAMA WA MRISHO MPOTO AFARIKI DUNIA LEO


HABARI KUTOKA KATIKA BLOG YA DJ CHOKA ZINASEMA MAMA WA MWANAMASHAIRI MAARUFU AMEFARIKI DUNIA LEO HII...BLOG HII INAMTAKIA POLE SANA.
Share/Save/Bookmark

Thursday, September 16, 2010

NAKAYA AJITOA CHAMA CHA CHADEMA


MSANII MAARUFU WA BONGO FLEVA NAKAAYA ALIYE JIINGIZA KATIKA SIASA AMERUDISHA KADI YAKE YA CHADEMA NA AMEINGIA CCM LEO........
NAKAAYA AMERUDISHA KADI HIYO KWENYE KAMPENI YA JAKAYA KIKWETE ILIYOFANYIKA LEO HII PALE ARUSHA.
Share/Save/Bookmark

VIDEO MPYA: H-.Baba - Nipe kidogo


KAZI NZURI H-BABA--BIG UP
Share/Save/Bookmark

Wednesday, September 15, 2010

HOT POT FAMILY IS BACK


Mambo vipi waungwana? Nachukua fursa hii kushukuru kwa support mnayonipa mimi na ndugu zangu wote wa Hotpot Family. Nadhani mlikuwa hamjui kuwa Hotpot Family ni kundi ambalo linajumuisha wasanii wa kila fani lakini kwenye muziki tunaofanya tuko kumi akiwemo Suma-G, Dulayo, Chriss, Baby, Nico, Chorus, Chid Blast, Dogo Mfaume, Salim na mimi Soggy

Tumeamua kufanya project ya kundi zima kwa mara ya kwanza na wimbo huu tumerekodi chini ya producer Muba na tumeona tuwaachie madogo waonyeshe uwezo wao ila mimi na Suma tumeimba chorus tu...
Wimbo unaitwa UNA MIPANGO? Tukiimanisha una Deal? Au una Pesa?
SIKILIZA WIMBO WAO HAPO JUU
Share/Save/Bookmark

NEW VIDEO: MISS UGANDA-KALA GEREMAYA -TZ MPAKA UG


BIG UP KAKA KALA .VIDEO NZURI SANA
Share/Save/Bookmark

Tuesday, September 14, 2010

VIDEO:One - The Incridible


Share/Save/Bookmark

PROFESA JAY IN ATLANTA


Prof wit wakazi

Hasheem and the fan



Bamboo

Bamboo and Wakazi hangin with fans

This weekend East Africans and other bongo music lovers living in Atlanta, USA had a show that is guaranteed to linger in their minds for a few month if not years to come. Rarely do you get a line up of artists as they did on the evening of September 11, a day that is already historic in its own way let alone that it was Eid. Of course the headliner of the event was the Heavyweight MC, Profesa Jay, but the series of events made the night become more epic.

After DJ Tony Tach and DJ Rich Maka finished blazing the crowd with a mix of East African Flava, Old School Jams and the current hits here in the US, the show was set to start.

There was no better way to start a show other than with a Crooner from Tanzania, now residing in Washington D.C area, Mr. AJ Ubao. Between his singing ability and rose flowers treatment for the ladies, the crowd was getting warmed up. He performed songs like “Feel the Music “ and “Wewe”

Right after AJ Ubao’s smooth session, the ladies were represented by none other than Kenya’s Own Miss Justelh. She had the fellas going crazy with a mix of cut edge raps, dancing moves and Singing ability. This unique talent had the crowd buzzin when she invited a gentleman to join her on stage on some dance moves on the song “Lose Control”.

Darda King was Next. The self-proclaimed “Mfalme” did not waste no time to get the crowd moving with his sing along catchy songs mixed with witty rhymes. The crowd went crazy when he finished of with what I consider his classic song, “Mdundiko” which is a studio version of a style of music played in the streets of Dar Es Salaam. He finished of by introducing the next act, Wakazi.
Wakazi “Swaggabovu” aka Muuza Vitu aka Dracula The Bilingual Beast. This up and coming MC didn’t waste no time to make his presence felt by first his “Eid Mubarak” wishes, and also “R.I.P” shouts to 9/11 victims as it was its 9th year anniversary. After that it was straight to business, with DJ Rich Maka on the set, Wakazi started of with a hot freestyle before the DJ dropped his song “Bangin” in which he shows you why he is called the Bilingual Beast. After that it was yet another freestyle followed by “Take you for a Ride” a track which was feature in his mixtape “ Mixtape Ya Ukweli Vol. 1”. The last song was ‘The Only Reason” which he dedicated it to the Ladies. To top off his performance, he shouted out all the previous performers, Profesa Jay who was about to come to the stage, Bamboo (Kenyan MC) who was in the crowd, and Hasheem Thabeet, calling them all winners as he was about to freestyle his verse “Winners”. He left while shouting his now signature, “Chicago word Up, Stakishari Ukonga stand Up” citing where he is at right now and where he is from respectively.
And then it was time for the main event. To make matters even more exciting, Profesa Jay, was introduced to the Stage by none other than Hasheem Thabeet. Hasheem started by thanking the community for embracing him so far in his career and also for showing support for the event and promised that it will be an annual event and he will definitely come back every year. After that he urged everyone in the crowd to give a round of applause for Profesa Jay as he made his way to the stage.

To start the show Jay commanded the crowd to move closer as the real party was about to start. He set if off with a crowd pleaser “Hapo Vipi” which encourages listeners participation in replying “Hapo Sawa”. It was hit after hit, banger after banger and the crowd kept begging for more. “Chemsha Bongo”, “Niamini”, “Ndio Mzee”, “Piga Makofi” and the list goes on. When it was time for “Zali la Mentali”, Profesa invited a pretty young lady to come and assist him on the song. Jay spotted Bamboo aka The African Bantu in the crowd and asked him to join him to the stage, where Bamb did a crazy freestyle that had the crowd going wild. After that Jay went back in starting of with “Nakuita Njoo” ironically a collabo with another Kenyan group Kleptomaniacs. The Highlight of the night came a few minutes before the heavyweight MC was about to finish. The beat of “Hakuna Noma” came in and he asked Bamboo and Wakazi to join him on stage again. Bamboo went in, Wakazi right after leaving Profesa to kill it off. It was crazy line after crazy line, swagger on top of swagger, and the chemistry was so crazy as if the scene was rehearsed or planned. After another song, Jay thanked the crowd and left leaving crazy noises and round of applauses only this time he didn’t have to tell them as he did in the song “Piga Makofi”, but rather was a natural reaction of music fans’ appreciation after witnessing a great show.ith
Share/Save/Bookmark

bongo flava



Share/Save/Bookmark

MASHABIKI WANGU NITAWAHITAJI KWENYE VIDEO YA KARIBU TENA-JOH MAKINI


Mtu mzima Joh Makini anatarajia kushoot video nyingine inayokwenda kwa jina la Karibuni Tena chini ya mtu mzima Adamu Juma kutoka Visual Lab. DJ Chokaa alipozungumza na Joh Makini alimwambia video hii ya karibu tena inahitaji watu wengi ambao watakuwa kama club halafu Joh atatakiwa kuwaimbia huku wakitoa shangwe za kutosha,

kiingilio kwa siku hiyo ni uje ukiwa umependeza sana na getini atakuwepo mwenyewe DJ Choka kwaajili yakukagua mavazi.
Anasema kwa sasa yupo kwenye kuumiza kichwa sehemu ipi itafaa kwaajili ya kuwakusanya mashabiki wake so soon atatoa location na nitawajulisha ili mje kumpa tafu Joh katika video hiyo.
HABARI KUTOKA BONGO STAR LINK NA DJ CHOKA
Share/Save/Bookmark

Monday, September 13, 2010

BONGO FLAVA MOJA YA SILAA ZA KAMPENI ZA UCHANGUZI 2010



More than ever,the 4th phase government has done great things to artists.I still hope there are a lot in store for this fastly growing industry from young generation.
"Says John Cyber"
Share/Save/Bookmark

CAMERA: MJUE Quick Rocka Charles






Share/Save/Bookmark

NEW SONG WAJUA,BY MASTER KEY FEAT.SIMPLE D.

LYRICS:

INTRO:
Oooo, ooo,.
once again, found maself in this beautiful thing, this is very special 4u. ahhh!!

CHORUS:
Wajua aaa, wajua a aaaa,
Moyo wangu umekuchagua wewe,
Wajua aaa, wajua a aaaa,
ma love 4 u will never die,
Wajua aaa, wajua a aaa,
ma heart belongs to you uuu!!
Wajua aaa, wajua a aaa,
moyo wangu umekuchagua wewe!!

VERSE ONE - MASTER KEY
uuua la moyo wangu ni wewe,
you are ma only one, you are ma number one,girl you are ma number one,
hey hey no ni nooo,
you are so beauty, you are so pretty, heyy, mmmmm no no nooo!!!
nipende nami nikupende, uuuu nione rahaaa!!!!
kuwa mbali na wewe siwezi baby girl,
napokuwa na wewe najiona tajiri, naiona fahari,
nimezama kwenye bahari, iii, ya mapenzii, ooh no no noooo!!

CHORUS

VERSE TWO - SIMPLE D.
Amsha hisia zako,unaponitazama,
nifurahi moyoni mwangu,
sema unanipenda, sema unanihitaji,
nifurahi moyoni mwangu,
you are ma number one, stay close to meee,
coz i need 4 life darling,
you are ma number one,stay close to meee,
coz i need u 4 life darling!!!

RAP - MASTER KEY
ameshika kwenye moyo, roho, nawaka mapendo,
makali kama moto, mrembo, model, mwendo wa mikogo,
master nimezimika amegusa palipo moyo sio kitoto, mchezo,
mtoto ana shingo, jocho, fiti kwa bolingo, ngozi yakw nyororo,
isiyokuwa na mkorogo,ananirusha roho, ananiacha hoi, mwenye thamani ya juu,
kama vile dhahabu, moyoni kama tatoo, nipunguze ghadhabu,ewe wangu mabuu, mtoto
yupo simple, natural, namba nane umbo, nasahau matatizo, hizi ni zangu ndoto,
ameshika kwenye moyo, roho, nawaka mapendo, makali kama moto!!! yeeeah!!

CHORUS;

AUTRO:
Master key, simple D, ooo oo ouuuu, wajua,nakupenda wewe,
wajua wajua, baby girl eeeh! ah!
(fade out)
Share/Save/Bookmark

Sunday, September 12, 2010

Ali kiba NEW 2010 BONGO FLAVA NEW TRACK


Share/Save/Bookmark

Video:Mwana FA & AY ft, Hardmad - Dakika Moja


Share/Save/Bookmark

KICHWA KIPYA KATIKA BONGO FLAVA


producer na director mpya wa Bongo flava. Jina ni Ashraff Maundi yupo chini ya Waya mkali Entertainment ambayo inamiliki Maundi Bros Audio na video production. Hii ndo ngoma yake ya kwanza inaitwa "Unanidatisha". Video na audio production zote zimefanywa chini na Ashraff Maundi.
Share/Save/Bookmark

Saturday, September 11, 2010

CAMERA : MJUE LINA KUTOKA THT




Share/Save/Bookmark

BABA LEVEL ATOA SINGLE MPYA-VUVUZELA


Baba Levo ameachia ngoma yake mpya inayokenda kwa jina la VUVUZELA ambayo amerecord pale JALLA MAN. Wimbo huu kwenye chorus kasimama mtu mzima Belle 9 na back vokal kapiga Linex.
Share/Save/Bookmark

Thursday, September 9, 2010

BENJA INTRODUCED HIS NEW TRACK CALLED MY FRIEND


BENJAMINI WA MAMBO JAMBO AACHIE SINGLE -MY FRIEND SIKILIZA HAPO JUU
Share/Save/Bookmark

MPOTO ATOA WIMBO MPYA


Msanii mwenye mistari yenye ujumbe mzuri na kumfikia mtu kwa haraka ujumbe wake Mrisho Mpoto, ametoa wimbo wake mpya kama wiki na nusu sasa unaoitwa Adela akiwa amemshirikisha msanii Ismail aliyeimba kiitikio cha wimbo huu.
Wimbo huu Mpoto anamzungumzia Adela kwamba anyooshe kidole na hana nia mbaya yakumrudisha darasani, Studio ya Fishcrab chini ya Producer Lamar ndio umeutengeneza wimbo huu.SIKILIZA HAPO JUU KULIA
Share/Save/Bookmark

Tuesday, September 7, 2010

DIVAS SWAGGER-My time


As we had
already given a glimpse of the NEW ERA mixtape project with the first song
(NEW ERA MUZIK – Sterio, One, cyrill, Goz b, Izzo B, Mabeste. Young D)
about three weeks ago, now the saga is moving to the next juncture.

It’s time
for the second drop, Its DIVAS SWAGGER featuring Ben Pol. This is a ONE
STOP if
you like it to call….. From singing
ability, rhyming skills, gorgeousness and the making of the song….on top
of all
of these its SWAGGER like you never seen before.

Please find
the details of the song as per below:

Song title:
My time Feat Ben Po

Artists:
(DIVAS SWAGGER) Theckla Nendeze, Vanessa Mdee,
Angeris, Chiku K, Linah, Baby J, Aneth, Mary Lucas & Pipi

Produced & Mixed By:
Duketachez

Project: NEW ERA EMPIRE

Studio: Music Lab.

The video of this song
is scheduled to take place at the end of this month, and is expected to be
directed by Adam Juma for Visual Lab

Special thanks to: LA
Familia, THT, G. Record, Vanessa Mdee, Angeris, Mary Lucas & Aneth for
their participation

Nawakilisha,
Patrick Gondwe

Artists & Studio
Manager
Music Lab – Media kings
Tanzania

WIMBO MWINGINE NI KUTOKA KWA HEIZAR - Shina La Mapenz
Share/Save/Bookmark

GODZILLA INC.


Msanii wa bongo fleva anayejulikana kwa jina la Godzilla King of Salasala ameanzisha lebo yake inayokwenda kwa jina la Godzilla Inc!
Zilla amesema lebo hiyo itakuwainasupport wanao chana lakini hawajapata nafasi bado! d doesn't matter where you from as long as una kipaji unaingia studio na nasupply mzigo! jipange.
Share/Save/Bookmark

DAKIKA MOJA VIDEO SHOOTING PICTURES








Share/Save/Bookmark
 

.