WASINII WETU WAMEKUWA HAWAJIANDAI IPASAVYO KABLA YA SHOW KAMA WENZETU WA NJE ..EMBU KAANGALIE MOVIE YA THIS IS IT YA MICHAEL JACKSON ALIVYOKUWA ANAJIANDAA KUFANYA SHOW UONE KAZI, ALAFU ULINGANISHE NA WASANII WETU WA HAPA...HAPO JUU NI ALIKIBA AKIJIANDAA KUFANYA SHOW HUKO ORLANDO ..

No comments:
Post a Comment