
Anaitwa Maunda Zorro.Anatokea kwenye ile ile familia ya kina Zorro ambayo tunaweza kabisa kuiita “Music Family”.Tangu alipoingia rasmi kwenye fani ameshaachia nyimbo kadhaa ambazo sio tu zimeshika chati bali zimethibitisha kipaji alichonacho, pia nayeye ameingia katika ulimwengu wa movies moja movie alizocheza ni misukosuko rock city.
Miongoni mwa nyimbo zake ni : Nataka Niwe Wako na mapenzi ni ya wawili .
Miongoni mwa nyimbo zake ni : Nataka Niwe Wako na mapenzi ni ya wawili .

No comments:
Post a Comment