Sunday, January 3, 2010

JE KUIMBA KIINGEREZA KUTAWATOA WANAMUZIKI WA BONGO NJE YA MIPAKA

Mr Blue alikaririwa akisema kuwa ameamua kurudi darasani kusoma kizungu baada ya kubaini kuwa muziki wake haufiki katika anga za kimataifa kutokana na kushindwa kuimba kwa lugha zinazoeleweka kimataifa. “Nguzo muhimu ya kufika huko ni kujaribu kuimba kwa lugha za kimataifa ambazo zinaeleweka nje ya mipaka ya Tanzania,” alitonya Blue....je ni kweli?
Share/Save/Bookmark

No comments:

Post a Comment

 

.