Wednesday, January 13, 2010

JUDGE MSHUSHUAJI WA AMERICAN POP IDOL KUJIUZULU


SIMON COWELL

JUDGE MAARUFU WA AMERICAN POP IDOL AMETANGAZA KUWA POP IDOL YA MWAKA HUU NDIO ITAKUWA YA MWISHO KWAKE...JUDGE HUYU NI MSHUSHUAJI SANA ..HATA INAAMINIKA KUWA KINA SALAMA WA BONGO STAR SEARCH WAMEIGA KUWASHUSHUA WASANII KUTOKA KWA JAMAA .
Share/Save/Bookmark

No comments:

Post a Comment

 

.