Wednesday, January 6, 2010

KAA TAYARI KWA VIDEO MPYA KUTOKA KWA MORACKA

Msanii Moracka anaandaa video yake ya wimbo wake mpya unaoitwa SHE GOT IT ambao amemshirikia mwanadafada DIVA. Moracka ameniambia video hiyo inafanywa na kampuni ya Kallage's Picture.

Share/Save/Bookmark

No comments:

Post a Comment

 

.