
MNAMKUMBUKA HUYU KIJANA ? NI MAD ICE ALIE IMBA WIMBO WA BABY GAL ...SIKU HIZI ANAISHI FINLAND,KWA HABARI NILIZO ZIPATA JAMAA YUKO BONGO KWA MUDA ANATAKA KUFUNGUA STUDIO YA MUSIC , MAMBO YAKE SI MABAYA ANAENDELEZA FANI YA MUSIC NA PIA NI MTANGAZAJI WA REDIO MOJA HUKO ......

MAD ICE ...........ANOTHER LEVEL
No comments:
Post a Comment