


DOHU NI JINA GENI ILA NI KIJANA AMBAYE YUKO BEHIND YA KAZI NYIGI ZA MOVIES PAMOJA NA SHOOTING ZA MZIKI ,KAZI YAKE KUBWA NI KUCHORA SCRIPT ZA KUONYESHA MATUKIO AMBAYO YATAONYESHWA KWENYE MOVIE OR VIDEO MUSIC SHOOTING ILI KUMPA MWONGOZA DIRECTOR WAKATI WA KUFANYA MOVIE,WENGI WANAOFANYA MOVIES HAPA TANZANIA HUWA HAWACHORI SCRIPT AMBACHO NI KITU MUHIMU SANA KATIKA HIYO INDUSTRY...

No comments:
Post a Comment