Saturday, January 2, 2010

MR BLUE HANA UWEZO MZURI WA KUIMBA JUKWAANI


KATIKA SHOW NYINGI AMBAZO NIMEMSHUHUDIA MR BLUE HUWA AKIPANDA JUKWAANI CHA ZAIDI UTAKACHO SIKIA NI "DAR ES SALAAM PIGA KELELEEEE" NA MAKELELE YA RAFIKI ZAKE ANAO PANDA NAO JUKWAANI ...NADHANI NI MUDA WA KUBADILIKA SASA HATA KAMA UNATUMIA PLAY BACK WAFANYE WATU WAONA KAMA NI WEWE UNAIMBA KWELI ....NAPENDA SANA NYIMBO ZAKE LAKINI JUKWAANI PATUPU
Share/Save/Bookmark

No comments:

Post a Comment

 

.