Saturday, January 2, 2010

NI KWELI Q-CHIEF KALOGWA?


HIVI KARIBUNI Q-CHIEF AMEONEKANA KWENYE TV MOJA AKIDAI KUWA AMELOGWA NA MSANII MWENZAKE NDIO MAANA MAMBO YAKE HAYAENDI SAWA ......JAMANI WADAU HII INAWEZEKANA KWELI? ANY ALL IN ALL JAMAA KAPENDEZA NA KIPARA CHAKE ...
Share/Save/Bookmark

No comments:

Post a Comment

 

.