Saturday, January 23, 2010

SPORAH SHOW -HIV MASSEGE TO TANZANIA-Mary Nagu & Samia Hassan


Share/Save/Bookmark

5 comments:

  1. Namkubali huyu demu, Kazi anaijua...
    Oprah winfrey wa bongo Hapa tunajivunia

    ReplyDelete
  2. Aisee nimependa, kumbe kuna wabongo wanafanya mambo mazuri ivi nchi za watu; bwana hii nzuri weka video nyingi basi tuone its very interesting.

    ReplyDelete
  3. Ni MBongo huyu dada? kuuliza sio ujinga Kaka? Nimependa tu kazi yake.

    ReplyDelete
  4. yap ni mtanzania ...once i come across with another clip of her show i will publish it

    ReplyDelete
  5. Aisee, sasa hawa ndio kinadada tunaotaka kuwaona kwenye mamet,Nivizuri kuona mabinti kama hawa ili vijana wetu wafuante mienendo yao. Nimependa kazi yake.

    ReplyDelete

 

.