Tuesday, January 5, 2010

SUGU NA FA KAZINI -S&S STUDIO IN BROOKLYN NEW YORK

Sugu na Mwana FA ndani ya S&S Studio in Brooklyn - New York wakirekodi track mpya 'Dunia Yako' itakayokuwa kwenye album ya VETO....STUDIO hiyo inamilikiwa na mtanzania anaye kwenda kwa jina la Stigo mmoja wa vijana waliokuwa wanaunda kuna la DIPLOMAZ
Share/Save/Bookmark

No comments:

Post a Comment

 

.