tamasha la elimika na bongo fleva limefanyika jumamosi na jumapili wiki iliyopita ndani ya nkuruma hall chuo kikuu cha dar-es-salaam, wasanii kibao walikutana na kutoa dukuduku zao pamoja na kufanya maonyesho ya kazi zao ikiwa ni pamoja na t shirts, albam zao na vinginevyo.

No comments:
Post a Comment