Friday, January 1, 2010

Where is he ? Yuko wapi kijana huyu

Jamani nani anajua alipo Sogy dogy? tunamuona kwenye facebook tu ,inaonekana mambo yake safi huko alipo ,kwani hata mavazi siku hizi ni ya kiofisi...safi sana ....where are you brother we miss u kwenye music .....
Share/Save/Bookmark

No comments:

Post a Comment

 

.