Thursday, February 18, 2010

T.I.D ATANGAZA NDOA SIKU YA VALENTINE


TID akiwa katikati ya perfomance Platinum Club Mikocheni, aliamua kuwashangaza watu alipozima muziki na kutangaza kuwa yuko tayari kuoa, kuhangaika tena sasa baaaaasi. Na Kinana ndie mwanamke aliemchaguwa kuwa mke
Share/Save/Bookmark

No comments:

Post a Comment

 

.