Tuesday, March 2, 2010

Video ...Mr Blue aka Byser - Like a Star....Hiii nyimbo Mr Blue kaimba kingereza baada ya kwenda shule ya Kizungu ...ha.ha


I believe utakubaliana na mimi kuwa BLU anakipaji kikubwa sana chakuflow with beats (yaani anateleza) anyway nisimpambe sana, this time around Blu ana anapenda kujiita Byser ametuletea Like a Star
Share/Save/Bookmark

No comments:

Post a Comment

 

.