Thursday, March 4, 2010

Wallpapers made by DJ choka --kazi nzuri sana




Mambo vp wadau wangu...nakumbuka niliwaahidi kuwa nitafungua wallpapers za wasanii wakibongo na kuonyesha kipaji changu cha kutengeneza wallpapers.
Sasa nimeweka baadhi huku nikiendelea kuzitengeneza zingine, kama wewe unakipaji usisite kunitumia wallpaper zako lakini ziwe za mastaa wetu wakibongo au hata kutengeneza yakwako na kunitumia kwa mail yangu ya djchoka84@hotmail.com na mimi nitawakilisha kipaji chako hapa. ili kuziona hizo wallpaper unaclick hapa chini...maoni yanaruhusiwa
www.bongowallpapers.blogspot.com
Thnx homies.
BY DJ choka
Share/Save/Bookmark

No comments:

Post a Comment

 

.