Monday, April 19, 2010

SIJUI NI KWELI AMA ?? FLAVIANA ANATOKA NA MMILIKI WA PHAT FARM..??


Kuna mtandao mmoja huko marekani umeandika kuhusu uhusiano wa mwanamitindo kutoka Tanzania FLAVIANA MATATA na aliekuwa mume wa Kimora Lee RUSSEL SIMONS ambae ni mmoja kati ya mafounder wa hip-hop label ya DEF JAM records na pia ni creator wa clothing fashion line yaPHAT FARM.
Flavy say Something baby gal...
Share/Save/Bookmark

2 comments:

  1. jamani hizo ni skendo tu mbona inaonekana hiyo picha labda flavi au mshkaji mmoja aliomba wapige picha....

    ReplyDelete
  2. aah bwana wee!tumeshazoea wasanii wa kibongo inawezekana ni kweli huyo binti anatoka na huyo babu lakini dah itakuwa mbaya sana coz jinsi alivo mrembo huyo mtoto kutoka na huyo mzee ni soo. kama kweli sijui kwa nini akubali kumalizia mifupa wakati nyama wameshakula wengine. unajua lisemwalo lipo kama halipo laja au halitakuwepo basi na kama sio kweli asije akathubutu kufanya hivo. coz nakapenda sana hako katoto hata kukaoa nilikuwa nawazia taanzia wapi kumpigia mistari.manake mamodel kama hao huwa hawatufagilii sana sie mamen wa kibongo hasa wenye life la chini au ambao sio celebrity. wanakimbilia kwa hao celebreties matokeo yake talaka siku ya tatu baada ya honeymoon!ni hayo tu mtu wangu

    ReplyDelete

 

.