siku 44 kabla ya kufikiwa kwa michuano ya kombe la dunia 2010 kuanza huko South Africa , tayari wanamuziki na ma kampuni mbali mbali wamesha toa ikiwemo nyimbo na matangazo kama chachu ya kutangaza Michuano hiyo mikubwa ulimwenguni kupigwa huko Africa kusini
MTN wameachia wimbo ambao ni wa World unaoitwa “Everywhere You Go” alioimba mwanmuziki kutoka Uganda Dr. Chameleon akishirikiana na wanamuziki master mbali mbali kutoka Africa pamoja na US. Walioshirikishw katika wimbo huo ni pamoja na Kelly Rowland US, Nigeria’s 2face Idibia, Ghana’s Samini, Cameroon’s Krotal, Senegal’s Awadi, Rola, South Africa’s Jozi, Zuluboy, pamoja na Kwesta, Slikour. Nyimbo hiyo ya mahadhi ya mirindimo ya ki sasa zaidi ni kama R & B mwanzoni wma wimbo na sehemu ya pili ya wimbo huo ipo katika mahadhi ya kitamaduni na mchanganyiko wa reggae. Hongera chamilion twangoja kuona utakacho kifanya huko Africa kusini lakini pia kutuburudhisha zaidi.
hiyo ndio ngoma yenyewe wadau maoni Tafadhali

No comments:
Post a Comment