Saturday, May 1, 2010

NEW SONG: IVETA by SAJNA (TETEMESHA REC)


imefanywa na kampuni ya KALLAGE PICTURES, locations ni Dar es salaam mjini na Kisemvule. Kwa sasa yuko katika hatua za mwisho kuikamilisha album yake ya kwanza chini ya TETEMESHA RECORDZ.

IVETA ni wimbo unaotokana na hadithi ya kweli, iliyomtokea jamaa mmoja mwenyeji wa mkoa wa kagera, aliyekuwa na mpenzi anaeitwa Iveta anaeishi Bukoba mpaka sasa, kisha huyo jamaa akaja Mwanza kutafuta maisha, akawa anafanya biashara ya kuuza miwa, akaja kufahamu kuwa Sajna ni msanii, ndipo aliamua kumfata Sajna na kumweleza kisa chake na kumuomba amuandikie wimbo ili kumpa ujumbe mpenzi wake aliyemuacha Bukoba, Sajna akaamua kuandika wimbo huu.
Share/Save/Bookmark

No comments:

Post a Comment

 

.