Monday, May 10, 2010

VIDEO MPAYA YA BABY GIRL IPO HEWANI.-MAJITA


VIDEO MPAYA YA BABY GIRL IPO HEWANI.TUKIONGEA NA UONGOZI WA MAJITA ULISEMA KUWA VIDEO IMESHAANZA KURUSHWA KATIKA VITUO MBALI MBALI VYA TELEVISION HAPA NCHINI.PIA UNAWEZA KU-DOWNLOAD NYIMBO YA BABY GIRL FOR FREE YAANI BILA MALIPO
http://www.sendspace.com/file/qjw1y8 BABY GIRL AUDIO TRACK
Share/Save/Bookmark

No comments:

Post a Comment

 

.