Sunday, June 20, 2010

HAJI NOORAH APATA LEBEL B-HITS




ATTENTION:-"KWAMBA NOORAH, OFFICIALY AMESAINI MKATABA NA BHITS MUSIC, NA ATAKUA CHINI YETU KWA MUDA HUU TUNAPOTENGENEZA MUZIKI WAKE. LEO MCHANA AMETOA SINGO YA KWANZA INAITWA "CHEMBAVERMENT" FT. NGWEA PRODUCED BY PANCHO LATINO

Share/Save/Bookmark

No comments:

Post a Comment

 

.