Sunday, June 6, 2010

UMABE COMPANY PROFILE

HISTORIA YA KIKUNDI
UMABE ni kampuni inayojishughurisha na uendeshaji wa sanaa kama vile muziki,maigizo,uchoraji,na kuendesha miradi mbalimbali ya kijamii na kimaendeleo.Kampuni hii ilianzishwa tarehe 3,3,2009 na kusajiliwa chini ya msajili wa makampuni mnamo tarehe 29,9,2009 chini ya sheria ya msajili wa katiba ya makampuni.Naambatanisha na cheti cha usajili,kampuni, pia kampuni yetu inasimamia kikundi cha sanaa cha UMABE ARTS GROUP kilichosajiliwa BASATA.



UMABE MUSIC PRODUCERspan>

UMABE CLOTHING LINE

AZMA MPONDA THE UMABE GENERAL MANAGER

ABEID AND IMMA WEB DESIGNERS


Share/Save/Bookmark

No comments:

Post a Comment

 

.