Thursday, July 29, 2010

FIESTA ILIVYOKUWA ZANZIBARI...


Mpaka chini...! mpaka chini,mpaka chiiiini.....rrrrhhhhaaaa..! Zanzibar Mambooooo..!


Ilikuwa heka heka kila kona na mayowe ya kutosha tu


Mkali mwingine wa Hip Hop kutoka mwamba wa Kaskazini ,Joe makini akikamua mistari ya nguvu mbele ya wakazi wa Zanzibar waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha la Fiesta Jipanguse 2010 ndani ya Ngome Kongwe.


Msanii mwingine mahiri ambaye amkuwa akikamua vilivyo karibu shoo zote Fiesta Jipanguse zilizokwisha fanyika,Mwasiti anakamua bomba sana jukwaani mpaka mashabiki wanamkubali sana tu.


Msanii wa bongofleva Angeris akiimba jukwaani


Mkongwe wa Muziki wa Kizazi kipya Sir Juma Nature akiimba mbele ya umati mkubwa wa wakazi wa Zanznibar


Barnaba na Linah kutoka THT wakiimba wimbo wao wa Kisa Meseji mbele ya wakazi wa Zanzibar kwenye tamasha la Fiesta Jipanguse 2010.
Share/Save/Bookmark

No comments:

Post a Comment

 

.