Tuesday, July 27, 2010

STIMU ZA JOH MAKINI SASA ZIMEFIKA MTONI


Self Proclaimed mwamba wa kaskazini is claming kuwa producers kibao wa USA kuwa wanamkubali kinoma kutokana na his cool flow style kama inavyosikika kwenye stimu zimelipiwa track ..amekuwa akipokea big ups kutoka kwa maproducer kama Polow Da Don and Dr Dre
Share/Save/Bookmark

No comments:

Post a Comment

 

.