Saturday, August 28, 2010

DJ STEBE B, DJ SKILLS NDANI YA BBA KUWARUSHA HOUSE MATES LEO


Dj steve b mwenye skills kutoka kipindi cha xxl, Clouds fm anatarajia kuwarusha BBA housmates siku Leo tarehe 28 .Steve B atawarusha live kupitia channel 198 ukitumia DSTV. tune uone skills za Dj steve b
Share/Save/Bookmark

No comments:

Post a Comment

 

.