Jiji la Mwanza
watu kibao walijitokeza ndani ya ccm kirumba na kuvunja record

diamond platnum
watu kibao walifika kumpokea airport, mwenyeji wa fiesta jijini Mwanza Fid Q aka ngosha the swagga don na hapa ilikuwa ni interview live kutoka airport. ncha kali, fid q na fe'eh

Fid q aka ngosha the swagga don mwenyeji wa fiesta 2010 jipanguse rrraaaaaaa

No comments:
Post a Comment