Tuesday, August 3, 2010

FIESTA DAR NI JUMAMOSI HII -LIL KIM NA WAZEE WA ALAJI KUTUA BONGO


Lil kim ndani ya bongo on Fiesta show


Lil Kim from Usa

Wazee wa aladji ndani ya nyumba. jipanguseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee raaaaaaaaaaaaahhhhhhhh!!!!

Bracket from Nigeria
Haya ile sikukuu moja kubwa ambayo husubiriwa kwa hamu kubwa sana bongo sikukuu amabyo hufanyika mara moja kwa mwaka tu hapa tanzania ya burudani na ambayo kwa mwaka huu ni stail ya kujipangusa hatimae kufanyika jumamosi ya mwishoni mwa wiki hii pale leaders club kinondoni na wanamuziki kibao kutumbuiza.
Share/Save/Bookmark

No comments:

Post a Comment

 

.