Monday, August 2, 2010

SUGU ASHINDA KURA ZA MAONI ZA UBUNGE KUPITIA CHEDEMA-NBAYA MJINI



Taarifa zinaeleza kuwa msanii mkongwe wa muziki wa Bongoflava, Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu, ameshinda kura za maoni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwania nafasi ya kugombea ubunge wa jimbo la Mbeya Mjini.

Kila la heri Mr Sugu. Jitihada zako zinapaswa kuwa fundisho kubwa kwa idadi kubwa ya wasanii (hususan wa Bongoflava) ambao kwa wao photo-ops (kuuza sura) na watawala wetu is everything despite having been USED AND ABUSED by same watawala kila unapojiri uchaguzi.
Share/Save/Bookmark

No comments:

Post a Comment

 

.