Wednesday, September 15, 2010

HOT POT FAMILY IS BACK


Mambo vipi waungwana? Nachukua fursa hii kushukuru kwa support mnayonipa mimi na ndugu zangu wote wa Hotpot Family. Nadhani mlikuwa hamjui kuwa Hotpot Family ni kundi ambalo linajumuisha wasanii wa kila fani lakini kwenye muziki tunaofanya tuko kumi akiwemo Suma-G, Dulayo, Chriss, Baby, Nico, Chorus, Chid Blast, Dogo Mfaume, Salim na mimi Soggy

Tumeamua kufanya project ya kundi zima kwa mara ya kwanza na wimbo huu tumerekodi chini ya producer Muba na tumeona tuwaachie madogo waonyeshe uwezo wao ila mimi na Suma tumeimba chorus tu...
Wimbo unaitwa UNA MIPANGO? Tukiimanisha una Deal? Au una Pesa?
SIKILIZA WIMBO WAO HAPO JUU
Share/Save/Bookmark

1 comment:

  1. am glad kwamba Hotpot family wamerudi.tupo pamoja sana. big up n mafanikio makubwa.
    by mdau, Daniel The Dong (kijana wa karakata)

    ReplyDelete

 

.