Saturday, September 18, 2010

MAMA WA MRISHO MPOTO AFARIKI DUNIA LEO


HABARI KUTOKA KATIKA BLOG YA DJ CHOKA ZINASEMA MAMA WA MWANAMASHAIRI MAARUFU AMEFARIKI DUNIA LEO HII...BLOG HII INAMTAKIA POLE SANA.
Share/Save/Bookmark

1 comment:

  1. ni mapenz yake mungu. namuombea apokelewe mahala pema. mpoto asife moyo tukaze mwendo tufikie ukombozi wa taifa letu. chagua chadema.

    ReplyDelete

 

.