Thursday, September 2, 2010

TIP TOP KUACHIA ALBUM SIKU YA IDD


Lile kundi lenye vichwa vikali kwenye upande huu wa mziki wa kizazi kimya hapa nawazungumzia TIP TOP Connection siku ya Idd Mosi watazindua album yao pale Club Sun sirro iliyopo Sinza Shekilango jijini Dar es salaam.
Kiingilio kikiwa ni shiliingi elfu 15 na elfu 20 kwa VIP.
Wasanii watakao wasindikiza ni Jafaray, Mwasiti na Roma
Share/Save/Bookmark

No comments:

Post a Comment

 

.