Kwa muda mrefu toka nimefungua blog ikiwa na jina la DJCHOKA.BLOGSPOT.COM na ndoto zangu kufikia malengo, basi nimeanza mdogo mdogo na kuanza kutumia domain ya jina la BONGO STAR LINK ili kuwa serious na kitu nachokifanya.
Kwa sasa DJCHOKA.BLOGSPOT.COM itakuwa inaitwa WWW.BONGOSTARLINK.COM, nimeanza na jina hili huku nikijaribu kuchukuwa visiku na viwiki kubadili mfumo mzima na muonekano wa website hii ya Bongo Star Link.SAYS DJ CHOKA
DJ CHOKA BLOG SASA NI BONGOSTARLINK.COM
No comments:
Post a Comment