Friday, June 25, 2010

ALBINO FLANI APIGA BONGE LA INTERVIEW NDANI YA XXL

Albino flani ambae ni mwanamuziki licha ya kuachia ngoma mpya leo akiwa amemshirikisha pipi, ametoa ushauri kwa albino woote kutokujichukulia hawawezi kufanya chochote,"tunauwezo wa kufanya chochote kile mwingine akifanyacho,albinism sio tatizo ila yule anaekuangalia na kukuona ni tatizo weka akilini kwamba yeye ndio tatizo" amesema Albino Flani.Jamaa katoa shout out kwa mdimu, shaimar na albino wengine woote wanaofanya kazi kwa kujituma na kuwafanya kama mfano wa kuigwa.
HABARI KUTOKA KWA DJ FETTY CLOUDS FM


ALBINO FLANI AKIWA CLOUDS FM LEO

TEAM YA KIPINDI CHA XXL NA ALBINO FLANI

ADAM AND DJ FETTY KATIKA INETERVIEW NA ALBINO FLANI LEO MCHANA.
Share/Save/Bookmark

1 comment:

  1. eee baana team nzima ya XXL clous mnatisha wanangu yanii nawafeel ile mbayaaaa BIG UP ALl!!!!

    ReplyDelete

 

.