

Fid Q says "Mwafrika hujihisi yuko peponi kwa kuishi London au New Yooork/ wengi wanaishi kiujanjajanja anayewakosea hawamsue yo/ wabongo hawapendi kulala tatizo ni wavivu wa kuamka/ kuteleza sio kuanguka mbaya ukishindwa kuamka/ Maisha ni kama mkono wa Birika hupinda bila kuinama/ Kinyonga hubadilika lakini hawezi kuchutama/ whutchu think I rap for?/ niendeshe 504?/Nawh"

No comments:
Post a Comment