Friday, January 8, 2010

VIDEO MPYA YA AY-KINGS AND QUEENS ON AIR


KINGS AND QUEENS Aliyomshirikisha JOKATE & AMANI kutoka KENYA.Wimbo umetayarishwa na na Super Producer HERMY B ndani ya Studio ya B.Hitz Music Group na kufanyiwa video na OGOPA DEE JAYS toka Kenya,
“Wimbo huu nimejaribu kufikisha fikra zangu kuwa MWANAMKE WA KIAFRIKA NDIE BORA KABISA NA NAJISIKIA FAHARI SANA KUZALIWA NAO NDANI YA BARA MOJA” alisema AY kwenye taarifa yake kwenda kwa wanahabari na Ma blogger mbali mbali ikiwemo BONGO FLAVOUR MUSIC NEWS
Share/Save/Bookmark

No comments:

Post a Comment

 

.