
Album ya Mh. Temba na Chege inatoka mwezi wa 4 inaitwa VITA UWANJANI, nyimbo ya kwanza itakayotoka kwenye album hiyo itatoka tarehe 14 feb na wamefanya na Wahuu kutoka Nairobi-Kenya na itajulikana kwa jina la MKONO MMOJA imetengeneza katika studio ya MJ Rec chini ya Producer Marco Chali na video itafanywa na Adamu wa Visul Lab.
Album imewashirikisha wasanii kama J Khan, Chidi Benz, Ferooz na Mr II.
Studio iliyotengeneza nyimbo ambazo zipo kwenye album ni Mandugu Digital, Soundcrafterz, 247 Rec na V Nice Production Producer Villy.
SOURCE : dj CHOKA

No comments:
Post a Comment