Saturday, January 30, 2010

NEWS: LAMAA AMEAJIRI WASAIDIZI KATIKA STUDIO YAKE


Kwa sasa hapa Fishcrab nimeamua kusign wasaidizi (assistants) wawili Roger na G-kau watakuwa wanapiga kazi halafu mimi mwenyewe nakuja kumalizia kwenye final.
Na kwa sasa Fishcrab tumemuingiza kwenye lebo msanii kutoka Orijino Comedy anajulikana kwa jina la MPOKI.NEWS SOURCE :dj CHOKA
Share/Save/Bookmark

No comments:

Post a Comment

 

.