ambross amejulikana sana kutokana na bauns hits zake na kuwa nyuma ya afanikio ya wasanii kibao wa bongo flava nchini na studio ...Sasa ameruka kwao Nairobi na amefungua studio huko.
I love music ....hasa bongo flava , hii blog ni kwa ajili ya bongo flava news tu...we mdau wa huu muziki kama unahabari kuhusu muziki huu nitumie kwenye e-mail : cybernizo@yahoo.com
Maco Chali kiboko yao !
ReplyDeletejamaa ni noma asiyemkubali mchawi.