
Watangazaji wa cloudsfm fetty na b12 wakiendesha kampeni ya kuchangia kwa ajili ya waathirika wa mafuriko yaliyotokea kilosa mkoani morogoro.Kama ungependa kuchangia tuma sms kupitia namba 15599 katika kila sms utachangia shilingi 250 ama unaweza toa chochote ulichonacho fika CLOUDS FM MIKOCHENI.

No comments:
Post a Comment