Thursday, April 22, 2010

AT KUIDONDOSHA NIPIGIE ALBUM


msanii AT kwa hivi sasa ame halla kuwa tayari kashakamilisha album yake inaitwa NIPIGIE na karibuni itaingia sokoni. AT amesema katika album hiyo amewashirikisha wasanii kibao kutoka Kenya na Uganda.
Share/Save/Bookmark

No comments:

Post a Comment

 

.