Jumanne ya April 21, ilikuwa zamu ya Mwamba wa Kaskazini Joe Makini na Lady J dee kuandaa wimbo kwa pamoja ,Katika wimbo huu pia imo sauti ya G-Nako wa Nako 2 Nako Soldiers,Kazi imefanyika Bongo Records chini ya P-Funk Majani...stay tuned
SASA KILA KITU MWENDO KASI: TAZAMA HUYU JAMAA
9 years ago

No comments:
Post a Comment